
"Hakuna zawadi nzuri kama upendo, Hakuna ahadi nzuri kama vitendo..........Nakuwaza...nyumila...komela"
Hii hapa video mpya ya Dyna Nyange akimshirikisha Bill Nas inaitwa "Komela". Mikono ya T Touch akiwa imehusika kufanya midundo mizuri masikioni mwa watu.
0 comments:
Post a Comment