Comments

Video ya Mayunga yachezwa kama #SmashHit Trace Urban


Video ya Mayunga Please Don’t Go Away aliyomshirikisha staa wa marekani Akon baada ya kupitishwa kuchezwa kwenye kituo cha TV cha kimataifa   cha Trace Urban cha Ufaransa,  bado imeendelea kufanya vizuri mpaka kupewa nafasi ya kuchezwa kama #SmashHit July 21, 2016 kwenye kituo hicho.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka zikionesha video hiyo ikichezwa kama #SmashHit
.
Kama hukuona video waweza tazama hapa
Share on Google Plus

About MZM

0 comments:

Post a Comment