Comments

Wizkid features Chris Brown, Trey Songz, & French Montana in ‘Shabba’


Msanii wa Nigeria Wizkid amekuja na ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la ‘Shabba’ akimshirikisha Chris Brown, Trey Songz na French Montana. Hata hivyo nyota ya msanii huyo wa Nigeria (Wizkid) imeonekana kunga'aa zaidi ndani ya Marekani toka afanye wimbo na Drake unaoitwa ‘One Dance’ambao kwa sasa unafanya unapigwa kwenye vituo mbalimbali.
Share on Google Plus

About MZM

0 comments:

Post a Comment