Magwiji wa muziki Sauti Sol wamekuja na hii kali "Kuliko jana" nyimbo iliyotikisa kwenye media mbalimbali Africa. Wametuletea video ya wimbo huo unaomanisha “Unamaanisha kuwa uaminifu wa Mungu haukomi kamwe. Huruma yake haiishi kila uchao ni vipya.” Wakimshirikisha Redfourth Chorus (Upper Hill
School)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment