Rapa wa mziki wa kizazi kipya "chid Benz" akichanika free style akiwa na Babu Tale na Kalapina wakielekea Sober House kupata tiba,Japo ni miezi michache iliyopita msanii "Chid Benz" toka atoke Sober House kwa mtazamo wangu naona Chid ni Rapa mmoja hatarii "chid so chod noma" .
Hapa ni baada ya kutoka Sober House Mcheki alivyo kuwa smati
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment