Tazama show ya One Africa Music Fest aliyotumbuiza Diamond hapa
Kwa mara ya kwanza show kubwa inayohusisha wasanii wa Afrika kwenye
ukumbi wa Barclays Centre nchini Marekani imefanyika jana. Wasanii
waliotumbuiza ni pamoja na Diamond, Wizkid, Davido, Tiwa Savage, Flavour
na wengine. Show hiyo ilikuwa ikiruka live kupitia mtandao wa Tidal.
Bonyeza hapa kuitazama yote.
0 comments:
Post a Comment