Comments

"Work" ya Rihanna na Drake inaweza kuwa kati ya ziilizosikilizwa zaidi Bongo


Nyimbo hiii ya msanii wa kike wa marekani "Rihanna" akimshirikisha Drake,inayoitwa "Work" japo kuwa ni nyimbo ya zamani inakadiriwa kuwa inaweza ikawa ni kati ya nyimbo ambazo zinasikilizwa sana na wabongo na watu wa sehemu mbalimbali kutokana na swaga zilizo wekwa ndani ya nyimbo hii, wajanja wengi wa mjini wamegundua radha ya wimbo huu kuuufanya kuwa muito wa simu zao.
Wimbo huu ulishika No. 1 katika chati za billboard muda mchache tu baada ya video yake kutoka.

Share on Google Plus

About MZM

0 comments:

Post a Comment